Kwa nini Yesu aliosha miguu ya Petro siku moja kabla ya sikukuu ya Pasaka (Pasaka ya Wayahudi)? Alipokuwa anaosha miguu yake, Yesu alisema, “Hujui sasa, lakini utalifahamu baadaye.” Simoni Petro alikuwa bora kati ya wanafunzi wa Yesu. Alikuwa na imani kwamba Yesu alikuwa Mwana wa God na alishuhudia kwamba Yesu alikuwa Kristo. Na Yesu alipoosha miguu yake, lazima kulikuwa na sababu nzuri ya kufanya hivyo. Wakati Petro alipokiri imani yake kwamba Yesu alikuwa Kristo, ilimaanisha kwamba aliamini Yesu kuwa Mwokozi ambaye angemwokoa kutokana na dhambi zake zote.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Je, Yesu alikuja kwa maji? Ndiyo ni sahihi. Alikuja kupitia ubatizo Wake. Maji ni ubatizo wa Yesu uliofanywa na Yohana Mbatizaji kwenye Mto Yordani....
Tulizaliwa katika dunia hii, lakini kabla ya hapo God alitujua tayari. Alijua kwamba tutazaliwa tukiwa wenye dhambi na kutuokoa sisi sote waaminio kwa njia...
Ngoja nikuambie ni dhambi gani mbele za God. Ni kushindwa kuishi kwa mapenzi Yake. Sio kuamini Neno Lake. God alisema kuwa ni dhambi kuishi...