Kwanza, ningependa kufafanua dhambi ni nini. Kuna dhambi zilizofafanuliwa na Mungu(God), na kuna dhambi zilizofafanuliwa na wanadamu. Neno dhambi, kwa Kigiriki, lina maana ya ‘kukosa shabaha.’ Linamaanisha kutopata sawa. Ni dhambi tusipoyafuata amri za Mungu(God) kwa usahihi. Hebu kwanza tuangalie dhambi kama zilivyofafanuliwa na wanadamu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Kwa nini Yesu alimwosha Petro miguu siku moja kabla ya sikukuu ya Pasaka ya Wayahudi? Alipokuwa akimwosha miguu yake, Yesu alisema, “Wewe hujui sasa;...
Yesu alitupatia ukombozi wa milele. Hakuna mtu katika dunia hii ambaye hawezi kukombolewa ikiwa anamuamini Yesu kama Mkombozi wake. Yesu alitukomboa sisi sote. Ikiwa...
• Fidia Bei inayolipwa kwa ajili ya ukombozi wa mtu aliyetekwa, mali iliyowekewa rehani au deni; kitendo cha kutatua tatizo kwa fedha. Hutumiwa mara...