• Fidia
Bei inayolipwa kwa ajili ya ukombozi wa mtu aliyetekwa, mali iliyowekewa rehani au deni; kitendo cha kutatua tatizo kwa fedha. Hutumiwa mara nyingi kama uwakilishi chanya wa ukombozi (mf: Kutoka 21:30, ‘kiasi cha fedha’; Hesabu 35:31-32; Isaya 43:3, ‘fidia’). Katika Agano Jipya, Mathayo 20:28 na Marko 10:45 vinaeleza fidia kuwa ni “malipo ya fedha”.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Kabla sijaendelea, ningependa kukuuliza swali. Unajifikiriaje wewe mwenyewe? Je, unadhani wewe ni mzuri kiasi au mbaya kiasi? Unafikiri nini?Watu wote wanaishi chini ya udanganyifu...
Luka 10:28, “Fanya hivyo nawe utaishi.”Watu wanaishi wakiwa na udanganyifu mwingi. Inaonekana kwamba ni dhaifu hasa katika jambo hili. Wanaonekana kuwa werevu lakini hudanganywa...
Tulizaliwa duniani humu, lakini kabla ya hapo Mungu(God) alikuwa tayari anatujua. Alijua kwamba tungezalika tukiwa wenye dhambi na akatuokoa sisi sote waumini kupitia ubatizo...