Luka 10:28, “Fanya hivyo nawe utaishi.”
Watu wanaishi wakiwa na udanganyifu mwingi. Inaonekana kwamba ni dhaifu hasa katika jambo hili. Wanaonekana kuwa werevu lakini hudanganywa kirahisi na hubaki wasiotambua upande wao wa uovu. Tumezaliwa bila kujijua, lakini bado tunaishi kana kwamba tunajijua. Kwa sababu watu hawajijui, Biblia hutuambia kwamba sisi ni wenye dhambi.
Watu huzungumza juu ya kuwapo kwa dhambi zao wenyewe. Nao hawawezi kutenda mema, lakini hujipendelea kujieleza kuwa wema. Wanataka kujisifu kwa matendo yao mema na kujionyesha. Husema kwamba wao ni wenye dhambi, lakini hutenda kana kwamba ni wema sana.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Kwanza, ningependa kufafanua dhambi ni nini. Kuna dhambi zilizofafanuliwa na Mungu(God), na kuna dhambi zilizofafanuliwa na wanadamu. Neno dhambi, kwa Kigiriki, lina maana ya...
Inatupasa kuzaliwa mara ya pili kwa maji na Roho Mungu(God), hapo mwanzo alipoumba mbingu na nchi, Yeye pia aliumba ulimwengu wa milele, mbingu na...
Shuhuda za Wokovu https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35