Tulizaliwa duniani humu, lakini kabla ya hapo Mungu(God) alikuwa tayari anatujua. Alijua kwamba tungezalika tukiwa wenye dhambi na akatuokoa sisi sote waumini kupitia ubatizo Wake, ulioondoa dhambi zote za ulimwengu. Aliwaokoa waumini wote na kuwafanya wote kuwa watu Wake.
Haya yote ni matokeo ya neema ya Mungu(God). Kama isemavyo katika Zaburi 8:4, “Mtu ni nani hata Umkumbuke.” Wale waliookolewa kutoka kwa dhambi zote ndio wapokeaji wa upendo Wake wa kipekee. Wao ni watoto Wake.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Kwa nini Yesu alimwosha Petro miguu siku moja kabla ya sikukuu ya Pasaka ya Wayahudi? Alipokuwa akimwosha miguu yake, Yesu alisema, “Wewe hujui sasa;...
Bwana Mungu(God) wetu amekata pingu za dhambi kwa ajili ya watu wote. Wote wanaotaabika chini ya dhambi ni watumwa. Yeye ameondoa dhambi zetu zote....
Je, Yesu alikuja kwa maji? Ndiyo, alikuja. Alikuja kwa ubatizo Wake. Maji ni ubatizo wa Yesu uliotolewa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Ulikuwa...