Kwa nini Yesu alimwosha Petro miguu siku moja kabla ya sikukuu ya Pasaka ya Wayahudi? Alipokuwa akimwosha miguu yake, Yesu alisema, “Wewe hujui sasa; lakini utalifahamu baadaye.” Simoni Petro alikuwa mwanafunzi bora zaidi wa Yesu. Aliamini kwamba Yesu alikuwa Mwana wa Mungu(God) na akashuhudia kwamba Yesu ndiye Kristo. Na Yesu alipokuwa akimwosha miguu yake, hakika kulikuwa na sababu ya Yeye kufanya hivyo. Petro alipokiri imani yake kwamba Yesu ndiye Kristo, ilimaanisha kwamba aliamini Yesu kuwa Mwokozi ambaye angemwokoa kutoka katika dhambi zake zote.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Tulizaliwa duniani humu, lakini kabla ya hapo Mungu(God) alikuwa tayari anatujua. Alijua kwamba tungezalika tukiwa wenye dhambi na akatuokoa sisi sote waumini kupitia ubatizo...
Bwana Mungu(God) wetu amekata pingu za dhambi kwa ajili ya watu wote. Wote wanaotaabika chini ya dhambi ni watumwa. Yeye ameondoa dhambi zetu zote....
Swali 1: Nimekuwa nikisoma vitabu ambavyo ulinitumia kwa fadhili na nimeona baadhi ya dhana zako kuhusu ubatizo wa Yesu zinavutia. Je, unaweza kuniambia kile...